Registrar: registrar@judiciaryzanzibar.go.tz | Chief Court Administrator: cca@judiciaryzanzibar.go.tz
Tarehe 15.05.2023 wamefanya Ziara kutembelea Mahakama Kuu Tunguu na kupata fursa kuonana na kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu masuala maombi ya Visa pamoja utoaji wa Vibali mbalimbali vinavyotolewa na Mahkama ya Kadhi Zanzibar kama Hati za ndoa, talaka idhini za kuozesha na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Ugeni huo umeonana na uongozi wa juu wa Mahkama akiwemo Jaji Mkuu, Kadhi Mkuu na Mrajis wa Mahkama ya Kadhi.
Ujio wa Maafisa umekuja kupitia taarifa ya Ubalozi wa Canada Tanzania.
Kutoka kulia kwako ni Mr. Ronnie Soobrattee na Mr. Daniel Deslauries wote ni maafisa wa Uhamiaji wa Kitengo cha tathmini katika masuala hatarishi (Risk Assesment Officers).
High Court, Vuga
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: info@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed
High Court, Chake-Chake
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: infopemba@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed