Registrar: registrar@judiciaryzanzibar.go.tz | Chief Court Administrator: cca@judiciaryzanzibar.go.tz
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Khamis Ramadhan Abdalla amewataka Makadhi na maulamaa kusimamia haki na maadili katika usikilizaji wa mashauri katika Mahkama pamoja na kutumia vizuri uhuru wao katika suala zima la utoaji wa haki kwa wananchi.…...Read More
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla ameitaka Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz kuitumia nafasi ya uwepo wa Ijitmai kuwaelimisha Jamii juu ya umuhimu wa kuzilea ndoa zao katika misingi bora…...Read More
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimekuwa mstari wa mbele katika kuziimarisha na kuzijengea uwezo Mahakama pamoja na vyombo vyote vya…...Read More
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla amesema Mahkama ya Zanzibar itaendelea kuboresha Mazingira bora ya kazi kwa Utumishi wake ili kuhakikisha wanatekeleza Majukumu yako kwa Ufanishi zaidi.
Read More
High Court, Vuga
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: info@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed
High Court, Chake-Chake
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: infopemba@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed