
Jaji Mkuu
Mahkama ya Zanzibar
Mahakama ni chombo cha kisheria kinachohakikisha utekelezaji wa sheria kwa kuzingatia Katiba. Ni taasisi muhimu ya kutatua migogoro, ambapo inatekeleza haki kwa kuzingatia ukweli wa kila kesi inayoletwa mbele yake. Zanzibar, kwa upande wake, inatumia mfumo wa sheria wa pande mbili, ambao unajumuisha Mahakama ya Kadhi inayosimamia masuala ya kisheria ya Kiislamu kama vile ndoa, talaka, na mirathi, pamoja na Mahakama ya Kiraia inayoshughulikia masuala yasiyohusiana na dini ya Kiislamu, ikiwemo masuala ya jinai na haki za kiraia.
Hii ni njia ya kuhakikisha kuwa sheria zinazingatia imani, tamaduni, na desturi za watu wakati zinatoa haki kwa wote, bila kujali tofauti za dini, itikadi, au hali ya kijamii.
Documents(Nyaraka)
Maombi ya Uwakili na Uvakili
Download (Pakua hapa)
Zanzibar Court Users' Satisfaction Survey
Download (Pakua hapa)
The Judiciary of Zanzibar Strategic Plan
2024/25 - 2028/29
Zi-JUMP Project Operation Manual
(Zi-JUMP) (P500588) August, 2024
Zi-JUMP Project Appraisal Document
(Zi-JUMP) April, 2024
Habari Mbali Mbali

Ufunguzi Majengo ya Mahkama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi
Sept 08, 2025

Ziara, Mahkama ya Tanzania
Ujumbe wa Mahkama ya Zanzibar kwenye ziara ya kubadilishana uzoefu na Mahkama ya Tanzania
Feb 17, 2025

Ziara ya Jaji Mkuu Uganda
Jaji mkuu wa Zanzibar Mh. Khamis Ramadhan Abdallah amefanya ziara ya kuitembelea mahkma ya Uganda
Feb 17, 2025
Ufunguzi wa Mkutano wa Ziara
Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Rabia Hussein akizungumza neno la Ufunguzi Tanzania, Dodoma
Feb 17, 2025

Ziara ya Jaji Mkuu Uganda
Jaji mkuu wa Zanzibar Mh. Khamis Ramadhan Abdallah amefanya ziara ya kuitembelea mahkma ya Uganda
Feb 17, 2025




