Registrar: registrar@judiciaryzanzibar.go.tz | Chief Court Administrator: cca@judiciaryzanzibar.go.tz

THE JUDICIARY ZANZIBAR

News & Events

ZIARA YA MHE JAJI MKUU PEMBA...

 Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Khamis Ramadhan Abdalla amewataka wafanyakazi wa Mahkama Pemba kuhakikisha kuwa wanayafanyia kazi kwa haraka mashauri yanayofikishwa Mahkamani ili kujenga Imani kwa wananchi pale wanapofikisha mashauri yao Mahkamani.

Ameyasema…...Read More

ZIARA YA MHESHIMIWA JAJI MKUU UNGUJA...

HABARI

Mhe Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Khamis Ramadhan Abdalla amewataka wafanyakazi wa Mahkama kuwahudumikia Wananchi wanaokuja Mahkamani kupata huduma kwa kutumia lugha  nzuri na kuwafahamisha taratibu zote za  kimahkama kwa uwazi kabisa bila…...Read More

KIKAO CHA MRAJIS NA WAANDISHI WA HABARI...

Jumla ya mashauri mapya 5089 yamepokelewa katika mahkama mbali mbali za unguja na pemba katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia jully mpaka september 2022. hayo yalisemwa na mrajisi wa mahkama kuu zanzibar mh valentina a. katema alipokuwa akizungumza na wandishi…...Read More

12

Unguja

High Court, Vuga
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: info@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed

Pemba

High Court, Chake-Chake
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: infopemba@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed