Registrar: registrar@judiciaryzanzibar.go.tz | Chief Court Administrator: cca@judiciaryzanzibar.go.tz

THE JUDICIARY ZANZIBAR

ladanyo007@gmail.com

MAHKAMA  ZANZIBAR

 MAHKAMANI   LEO..

Mahkama  ya Mkoa chake chake Pemba  yenye Mamlaka ya ziada (extended Jurisdiction) imewaamuru washtakiwa Fumu Ali Makame mwenye umri wa miaka 21 na Kheir Makame Kombo  mwenye umri wa miaka 20  kutumikia kifungo cha miaka 40 kila mmoja  chuo cha Mafunzo  kwa kosa la kupatikana na dawa  za  kulevya. 

Awali washatakiwa hao kwa Pamoja walishatakiwa kwa kosa la  kupatikana  na dawa za kulevya aina ya bangi misokoto 100 na  mafurushi 4  kinyume na kifungu 21(1) (d) cha sheria nam 8/2021, mnamno tarehe 23/4/2022.

 Akisoma maelezo ya hukumu ya  hiyo  Hakimu wa Mahkama hiyo   Mhe Faraji Shomari Juma  amesema Mahkama imeridhishwa  na  ushahidi uliotolewa mahakamani hapo ambao ulikuwa hauna  chembe ya  shaka  ndani  yake  na   uliwatia hatiani watuhumiwa kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya.

Imetolewa na kitengo cha Uhusiano

Mahkama  kuu  zanzibar

22/11/2022.

Unguja

High Court, Vuga
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: info@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed

Pemba

High Court, Chake-Chake
ZANZIBAR
Tel: +255 719 606 436
Email: infopemba@judiciaryzanzibar.go.tz
Monday - Friday: 07:30am - 09:30pm
Saturday & Sunday: Closed